Mali ya mamilioni ya pesa yateketea baada ya moto mkubwa kuzuka Lodwar katika kaunti ya Turkana

  • | Citizen TV
    269 views

    Mali ya thamani ya mamilioni pesa iliteketea mjini Lodwar baada ya moto mkubwa kuzuka siku ya Jumatatu jioni. Moto huo ulianza katika duka moja la kusambaza vileo na kisha kusambaa hadi duka lingine la kuuza vifaa vya ujenzi.