Watu watatu hawajulikani waliko kufuatia shambulizi lingine la kigaidi katika kaunti ya Lamu

  • | Citizen TV
    1,324 views

    Watu watatu hawajulikani waliko huku wengine wakinusurika kifo baada ya gari lao kushambuliwa na wapiganaji wa kundi la al Shabaab katika eneo la Koreni kwenye barabara kuu ya Lamu-Witu-Garsen katika kaunti ya Lamu.