Familia yaandaa ibada ya kumbukuka Profesa Micere Mugo

  • | Citizen TV
    578 views

    Familia, jamaa na marafiki wa marehemu Profesa Micere Githae Mugo walihudhuria ibada maalum ya ukumbusho wa maisha yake katika kanisa la all-saints cathedral hapa jijini Nairobi. Prof Micere amekumbukwa kwa mchango wake katika nyanja ya masomo, uandishi wa vitabu na sanaa pamoja na kupigania haki za kibinadamu.