Rais Ruto ataka muda wa kutosha kuboresha uchumi wa nchi

  • | Citizen TV
    4,954 views

    Rais William Ruto hii leo amejumuika na mamia ya waombolezaji katika mazishi ya David Chepkwony, ambaye ni mumewe mbunge wa Njoro Charity Kathambi. Katika mazishi hayo yaliyofanyika katika kaunti ya Nakuru, Rais Ruto aliwataka wakenya kumpa nafasi na muda wa kuboresha uchumi wa nchi.