Polisi wanawatafuta watu watatu waliotoweka Lamu

  • | Citizen TV
    749 views

    Watu wanane wamenusurika kifo baada ya magari walimokuwa wakisafiria kushambuliwa na watu wanaoaminika kuwa magaidi wa Alshabab. Mashambulizi yaliyotokea kwa mpigo katika maeneo mawili katika kaunti ya Lamu.