Maaskofu wa kanisa katoliki wakosoa somo la uzazi

  • | Citizen TV
    687 views

    Maaskofu wa kanisa ya katoliki wamekosoa mafunzo ya uzazi shuleni kwenye vitabu vya kiada. Kulingana nao, mafunzo hayo hasa kwenye vitabu vya wanafunzi wa gredi 7 yatasababisha mimba ya utotoni na uavyaji mimba.