Wanafunzi 1,000 walionufaika na mpango wa benki ya Equity Wings to Fly wakongamana mjini Kitale

  • | Citizen TV
    144 views

    Zaidi ya wanafunzi 1000 walionufaika na mpango wa benki ya Equity Wings to Fly wamekongamana katika shule ya upili ya wavulana St Joseph's Kitale ili kujadili mustakabali wa kuwasaidia wenzao ambao wanakabiliwa na wakati mgumu wa kifedha ili kupata elimu.