Wakaazi watakiwa kujisajili na mpango wa bima ya NHIF katika kaunti ya Busia

  • | Citizen TV
    80 views

    Wakazi wa kaunti ya Busia wamehimizwa kuzingatia kujisajili na bima ya afya ya NHIF ili kupunguza gharama za matibabu. Wito huu ulitolewa kwenye hafla ya matibabu ya bure mjini humo ambapo mamia ya wenyeji wasiojikimu walijitokeza ili kutibiwa bure.