Jamii za Wafugaji katika kaunti ya Lamu zalalamikia kuhangaishwa na polisi

  • | Citizen TV
    166 views

    Jamii ya wafugaji kaunti ya Lamu inalalamikia kile wanasema ni kuhangaishwa kwa watu wa jamii hiyo kufuatia msako unaotokana na mashambulizi ya punde ya kigaidi. Maafisa wa usalama wamekuwa wakifanya misako kufuatia mashambulizi haya katika vijiji kadhaa vya kisiwa hiki.