Asilimia 30 ya wanawake yajitosa katika masomo ya Sayansi nchini

  • | Citizen TV
    132 views

    Asilimia 30 ya wanawake wamejitosa kwenye sayansi na hivyo ipo haja ya uhamasisho ya wasichana wa shule ya upili kupata mafunzo zaidi kuimarisha hali hii. Utafiti uliofanywa na wadai kwa ushirikiano na shirika la umoja wa mataifa kuhusu elimu ikipendekeza mikakati kadhaa kuimarisha masomo haya.