Uhaba mkubwa wa maji waendelea kushuhudiwa eneo la Makueni

  • | Citizen TV
    181 views

    Uhaba wa maji katika maeneo yanayoshuhudia ukame umeendelea kuathiri huduma za afya maeneo hayo. Vituo vya afya pia vimeshuhudia uhaba huu huku wataalam sasa wakitaka suluhu ya kudumu.