Wakulima katika kaunti ya Siaya waanza kuzamia kilimo cha parachichi

  • | Citizen TV
    170 views

    Wakulima wengi wa parachichi nchini huaminika pakubwa kutoka maeneo ya Kati. Hata hivyo, kunao wakulima kaunti ya Siaya ambao wameonyesha ueledi wao katika kilimo cha parachichi na kuanza kukuza zao hili.