Raila amkosoa balozi wa Marekani nchini Meg Whitman

  • | Citizen TV
    7,383 views

    Kinara wa Azimio Raila Odinga na viongozi wa mrengo wake wamemkashifu balozi wa Marekani Meg Whitman kufuatia matamshi yake kuwa uchaguzi wa mwaka uliopita ulikuwa huru na wa haki.