Rais William Ruto aahidi kukabiliana vikali na wafisadi

  • | Citizen TV
    4,048 views

    Rais William Ruto aewaonya vikali mafisadi wanaopanga kuiba pesa zitakazokusanywa kwa njia ya ushuru. Kadhalika amepiga marufuku uagizaji wa samani kama vitanda kutoka ughaibuni. Rais Ruto akizungumza kaunti ya Kiambu amesema kuna ujuzi wa kutosha nchini wa kuunda bidhaa hizo ambazo zitaongeza nafasi za ajira hasa kwa vijana.