Kinara wa Azimio Raila Odinga asifu hatua za serikali za kaunti

  • | Citizen TV
    3,401 views

    Kinara wa Azimio Raila odinga amezitaka serikali za kaunti kutokubali shinikizo za kuongeza ushuru kwa wakenya ambao tayari wanalemewa na mzigo wa gharama ya maisha .akihutubia kongamano la utaguzi mjini Eldoret, Raila pia ameunga mkono hoja ya kuongeza mgao wa kaunti ili kuimarisha ajenda ya ugatuzi