Viongozi na wakaazi wa Pokot Magharibi wataka IPOA kuangazia shughuli za polisi eneo hilo

  • | Citizen TV
    191 views

    Wakazi wa kaunti ya pokot magharibi wanataka mamlaka ya kutathmini utendakazi wa polisi IPOA kushirikishwa katika oparesheni ya kuwasaka wahalifu katika bonde la kerio ili kuzuia dhuluma dhidi ya wakazi wasiokuwa na hatia.