Makamu chansela wa vyuo vikuu vya kibinafsi walalamikia mfumo mpya wa kufadhili masomo

  • | Citizen TV
    244 views

    Makamu chansela wa vyuo vikuu vya kibinafsi nchini wanataka mabadiliko kufanywa kwenye mfumo mpya wa kufadhili masomo ya wanafunzi ambao wanasema unabagua wanafunzi watakaojiunga na vyuo vikuu vya kibinafsi.