Kaunti za Kaskazini Mashariki kuwekewa vifaa vya nishati ya jua

  • | Citizen TV
    153 views

    Wakazi kutoka kaunti za kaskazini mashariki watafaidika kutokana na kuwekwa kwa vifaa vya nishati ya jua vitakavyofanikisha usambazaji wa maji kutoka visima takriban 400.