Wenyeji wa eneo la Gusii wabuni njia mbadala ya kukabili ukeketaji

  • | Citizen TV
    209 views

    Wenyeji wa eneo la Gusii wamebuni njia mbadala ya kukabili ukeketaji. shirika la Manga Heart kwa ushirikiano na wakfu wa International Solidarity limeanzisha hafla za kuwafunza watoto wa kike na wa kiume pamoja na wazazi wao madhara ya ukeketaji.