Huduma za matibabu zssitishwa katika hospitali za umma za Alupe na Kocholia, Teso Kusini

  • | Citizen TV
    131 views

    Huduma za matibabu zimesitishwa katika hospitali za umma za Alupe na Kocholia zilizoko katika maeneo bunge ya Teso Kusini na Teso Kaskazini mtawalia, kufuatia mgomo wa wafanyakazi wa kibarua huku wagonjwa wakitaabika pakubwa.