Viongozi wa makanisa watoa wito kwa jamii kusaidiana dunia ikiadhimisha siku ya wahisani

  • | Citizen TV
    103 views

    Tarehe 19 Agosti ni siku ya kuadhimisha siku ya wasaidizi wa kibinadamu ulimwenguni. viongozi wa makanisa wametoa wito kwa kila aliye na uwezo wa kusaidia wasio na uwezo katika jamii kujitolea kuwafaa watu hao.