Serikali yazindua huduma za mtandao katika soko la Sikhendu kaunti ya Trans Nzoia

  • | Citizen TV
    400 views

    Serikali imezindua huduma za mtandao katika soko la sikhendu kaunti ya trans nzoia. Waziri wa mawasiliano eliud owalo anasema mpango huo unalenga kuwapa fursa wafanyabiashara kutumia mtandao kuwafikia wateja zaidi.