Vijana wawalaumu wanasiasa kwa kuwasahahu baada ya siasa

  • | Citizen TV
    545 views

    Vijana wamewanyoshea kidole cha lawama wanasiasa wanaowatumia kipindi Cha kampeni na kuwatema baada ya chaguzi. Vijana hao wanawataka viongozi kuwajibikia ahadi walizotoa kwao kipindi Cha kampeni kama vile kubuni ajira. Haya yamejiri katika kongamano lililowashirikisha vijana kutoka Kaunti ya Samburu na Laikipia kuzungumzia changamoto zinazowakumba kama anavyoarifu Mwanahabari wetu Bonface Barasa.