Akina mama wa kaunti ya Nyamira wahimizwa kujiunga na vikundi vya kilimo biashara

  • | Citizen TV
    159 views

    Akina mama wa kaunti ya Nyamira wamehimizwa kujiunga na vikundi vya kilimo biashara kama njia moja ya kukabili mizozo ya kijinsia kwenye familia inayochangiwa na ufukara katika jamii.