Kundi la kina mama laanza kupanda miche 5,000 eneo la Loitokitok, Kajiado

  • | Citizen TV
    136 views

    Huku serikali ikiendelea kuwahimiza wananchi kupanda miti ili kutunza mazingira, kundi moja la Wajane kutoka eneo la Loitokitok kaunti ya Kajiado limeanza safari ya kupanda miche laki tano katika eneo hilo. Kamati inayosimamia misitu katika eneo la Loitokitok inalenga kupanda miti zaidi milioni 1.2M mwaka huu. Robert Masai na kina cha taarifa hiyo.