Pst Ezekiel Odero akata rufaa dhidi ya hatua ya kusajili kanisa lake

  • | Citizen TV
    8,735 views

    Mhubiri wa kanisa la Newlife Prayer Center Ezekiel Odero ameelekea mahakamani kukata rufaa ya kubatilishwa kwa usajili wa kanisa lake. Ezekiel kupitia kwa mawakili wake amesema hatua hiyo si halali na inafaa kutupiliwa mbali. Kanisa la Goodnews International la mhubiri tata Paul Mackenzie na kings outreach ni miongoni mwa makanisa matano yaliyoondolewa kwenye sajili ya mashirika