Kampuni ya Royal Media Services yafadhili upanzi wa miti

  • | Citizen TV
    468 views

    Kampuni ya Royal Media Services imeungana na mashirika mengine kwenye shughuli ya upanzi wa miti ili kuhifadhi mazingira katika maeneo kadhaa ya kaunti ya Baringo.