Koo mbili Garissa zazozania migodi ya vito vya thamani

  • | Citizen TV
    803 views

    Viongozi wa dini kutoka kaunti ya Garissa wamelaani mauaji yaliyotokea katika eneo la Kunaso na Galmagala ambapo watu wanane waliuwauwa na watu wasiojulikana.