Naibu Rais awaonya magavana dhidi ya kufuja pesa za umma

  • | Citizen TV
    646 views

    Naibu Rais Rigathi Gachagua ametoa onyo kali kwa magavana dhidi ya kutumia mgao wa fedha za kaunti kwa shughuli za vyama vya kisiasa. Gachagua amesisitiza kuwa matumizi hayo mabaya ya fedha yalikithiri katika serikali iliyopita . Gachagua aliyasema haya mjini Eldoret katika kaunti ya Uasin Gishu alipofunga rasmi kongamano la nane la ugatuzi.