Makamu Chansela wa vyuo vikuu vya kibinafsi walalamika

  • | Citizen TV
    441 views

    Makamu chansela wa vyuo vikuu vya kibinafsi nchini wanataka mabadiliko kufanywa kwenye mfumo mpya wa kufadhili masomo ya wanafunzi ambao wanasema unabagua wanafunzi watakaojiunga na vyuo vikuu vya kibinafsi. Wakizungumza baada ya mkutano katika chuo kikuu cha Kabarak,jijini Nakuru, wakuu hao wa vyuo wanasema kuwa mfumo wa kitambo wa kufadhili wanafunzi ulikuwa na uwazi kuliko wa sasa.