Rais Ruto amkosoa Raila kwa kumsuta balozi wa Marekani

  • | Citizen TV
    5,838 views

    Rais William Ruto amekashifu vikali matamshi ya Kinara wa Azimio Raila Odinga dhidi ya balozi wa marekani hapo jana. Rais Ruto ametaja matamshi ya Odinga kuwa ya kutishia ushirikiano wa mataifa ya Kenya na Marekani.