Rais Ruto aahidi kuimarisha maendeleo eneo la Kisii

  • | Citizen TV
    1,903 views

    Rais William Ruto ameendelea kutetea miradi mbalimbali iliyoanzishwa na serikali yake akisema ndio njia pekee ya kushukisha gharama ya maisha. Rais aliyezuru kaunti ya kisii hii leo pia ametoa wito wa ushirikiano katika kufanikisha maendeleo nchini.