Kinyozi anayetumia jiometria kunyoa wateja wake

  • | Citizen TV
    24,925 views

    limau, basi yatengezee sharubati.’ Ni msemo anaoufahamu fika Zakaria Mwaura ambaye licha ya kukosa kukamilisha masomo yake, mapenzi yake ya hisabati na uhandishi yalimpa motisha kufungua biashara ya kipekee ya kinyozi hapa nairobi. Steve shitera anatupasha zaidi kuhusu kinyozi huyu anayetumia jiometria katika kazi yake