Wizi wa mifugo katika eneo la Chorwai wapunguzwa na uuzaji wa pombe na upunguzaji wa mahari

  • | Citizen TV
    177 views

    Ni miongo mitatu sasa tangu wakazi wanaoishi katika eneo la Chorwai kwenye mpaka wa West Pokot na Elgeyo Marakwet kusitisha wizi wa mifugo ambao kwa miaka ulisababisha utovu wa usalama katika eneo hilo. Lakini usilojua ni kuwa, baadhi ya mbinu zilizotumika kusitisha hali hii ni kupunguzwa kwa mahari na hata marufuku ya pombe.