Wafanyibiashara Maralal katika kaunti ya Samburu wapata maduka mapya

  • | Citizen TV
    142 views

    kina mama wanaofanya biashara ya ushonaji shanga katika kaunti ya Samburu,wamehimizwa kujiunga na vyama vya ushirika ili kuwekeza na kuendeleza biashra zao. Haya yaliibuliwa wakati wa uzinduzi wa maduka mapya ya kibiashara mjini Maralal ambayo kwa kina mama hao ili waweze kufanya kazi katika mazingira yaliyoboreshwa.