Kundi la wahubiri katika eneo la Nandi laanzisha mchakato kuhusu utunzi wa msitu wa Mau

  • | Citizen TV
    424 views

    Kundi la wahubiri katika kaunti ya nandi limeanzisha mchakato wa kurejesha hadhi ya msitu wa mau ambao unaendelea kushuhudia uharibifu kutokana na shughuli za ukataji miti, kilimo,na ufugaji.