Wanafunzi ambao hawana vitambulisho kukosa ufadhili

  • | Citizen TV
    1,955 views

    Maelfu ya wanafunzi wanaotaka kujiunga na vyuo vikuu wana hofu ya kukosa ufadhili wa elimu ya juu kutokana na kutokuwa na vitambulisho. Wanafunzi hawa ambao wengi wao bado hawajapata vitambulisho vya kitaifa wanasema kuwa maombi ya kupata mikopo ya helb inawahitaji kuweka nambari ya kitambulisho ambayo hawana. Lakini kama chrispine otieno anavyoarifu,helb imeshikilia kuwa mikopo hiyo itatolewa kwa vyuo japo watakaopata lazima watoe vitambulisho.