Mhubiri Ezekiel Odero apinga kufutiliwa mbali kwa usajili wa kanisa lake

  • | Citizen TV
    2,787 views

    Mwanzilishi wa kanisa la New Life Prayer Centre Ezekiel Odero ameelekea mahakamani akitaka kubatilisha uamuzi wa kufutilia mbali usajili wa kanisa lake. Kwenye stakabadhi zilizowasilishwa mahakamani odero anasema uamuzi wa msajili wa vyama unazuia waumini wa kanisa lake kuendelea kutekeleza haki yao ya kuabudu.