Viongozi kutoka Mombasa wataka serikali kutafuta hazina maalumu ili kushughulikia watoto walemavu

  • | Citizen TV
    154 views

    Baadhi ya viongozi katika Kaunti Mombasa wanataka mabunge ya kaunti na serikali kuu kutafuta hazina maalumu ili kushughulikia changamato za watoto walemavu kiafya na kielimu. Viongozi hao wanasema Watoto hao wengi wanatoka familia maskini na hushindwa kuendelea na masomo kutokana na changamoto za gharama zinazowakumba.