Familia ya walioathiriwa na ajali ya barabarani Londiani wapokea jumla ya sh14.5 milioni kama fidia

  • | Citizen TV
    271 views

    Familia, walionusurika, na wamiliki wa boda-boda walioathiriwa na ajali mbaya ya barabarani Londiani iliyotendeka julai tarehe 4 hatimaye wamepokea jumla ya sh14.5 milioni kama fidia.