Mazungumzo ya kuleta amani kati ya jamii mbili kutoka Garissa na Isiolo yanzishwa

  • | Citizen TV
    156 views

    Kufuatia uhasama unaochangiwa na ushindani wa lishe na maji kati ya jamii mbili kutoka kaunti ya Garissa na Isiolo, mazungumzo ya kuleta amani yameanzishwa ili kuzuia kuchipuka tena kwa migogoro hiyo.