Kwa nini wazee huwa kiungo muhimu katika Jamii ya Wasamburu

  • | Citizen TV
    89 views

    Wazee ni kiungo muhimu sana katika Jamii ya wafugaji ya Wasamburu,wakitengewa majukumu maalum.Je,nafasi ya wazee katika jamii ya Wasamburu ni ipi? Mwanahabari wetu Bonface Barasa amezamia swala hilo kwenye mwenge wa Kaunti wiki hii.