Tamasha za muziki za kitaifa 2023 zaendelea katika shule ya upili ya wavulana ya Nakuru

  • | Citizen TV
    235 views

    Tamasha za muziki za kitaifa 2023 zinaendelea katika shule ya upili ya wavulana ya Nakuru ambapo shule mbalimbali zinashiriki maonyesho ya nyimbo tofauti za kitamaduni kutoka tabaka mbali mbali nchini. Tamasha hizo zinatarajiwa kukamilika hii leo kabla ya washindi kutangazwa na kutuzwa na Rais William Ruto hapo kesho kwenye ikulu ndogo ya Nakuru. Mwanahabari wetu Maryanne Nyambura na taarifa hiyo