Wakaazi katika kaunti ya Kakamega watakiwa kupanda miti kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi

  • | Citizen TV
    152 views

    wakaazi wa maeneo yenye Mito na milima Katika kaunti ya Kakamega wametakiwa kupanda miti ya kiasili Kwa wingi ili kuhifadhi vyanzo vya maji na kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi.