Mazungumzo ya amani yaanzishwa kuzuia mapigano kati ya jamii katika kaunti ya Garissa

  • | Citizen TV
    174 views

    Kufuatia uhasama unaochangiwa na ushindani wa lishe na maji kati ya jamii mbili kutoka kaunti ya Garissa na Isiolo, mazungumzo ya kuleta amani yameanzishwa ili kuzuia kuchipuka tena kwa migogoro hiyo.