Setesheni ya Egesa FM yaendeleza hafla za elimu katika eneo la Mugirango Kusini

  • | Citizen TV
    137 views

    Stesheni ya Egesa FM inaendelea na hafla ya kuhamasisha umma kuhusu maswala ya elimu katika maeneo ya Tabaka, Mugirango Kusini. Hafla hiyo ambayo pia inahusisha washikadau mbalimbali pia inalenga wanafunzi ambao wanatarajia kujiunga na vyuo mbalimbali hususan kuhusu mfumo mpya ya ufadhili wa masomo.