Shilingi milioni 14.5 zimetolewa kama fidia kwa waathiriwa wa ajali ya Londiani

  • | Citizen TV
    91 views

    Waathiriwa wa ajali mbaya ya barabarani iliyotokea eneo la Londiani mapema mwezi jana hatimaye wamepokea jumla ya shilingi milioni 14.5 kama fidia.