Mtu mmoja akamatwa kwa kuhusishwa na fujo katika eneo la Nyakach

  • | Citizen TV
    271 views

    Mtu mmoja ametiwa nguvuni kufautia machafuko yaliyoshuhudiwa katika eneo la Nyakach Jumamosi iliyopita na kusababisha vifo vya watu wawili. Mratibu wa eneo la Nyanza Flora Moroa aidha anasema kuwa maafisa wa usalama wameshika doria katika eneo hilo, huku uchunguzi ukiendelea ili kuwanasa wahusika wa machafuko hayo.