Rais William Ruto aanza rasmi ziara ya siku tano katika maeneo ya North Rift

  • | Citizen TV
    187 views

    Rais William Ruto leo anaanza ziara ya siku tano katika maeneo ya North Rift. Ziara ya Rais itaanzia maeneo ya Maasai Mara ambako anaazindua rasmi sherehe ya tamaduni ya jamii ya Kimaasai kabla ya kuelekea Nakuru kwa uzinduzi wa nyumba za bei nafuu.