Magaidi wa Al Shabaab washambulia lori katika kaunti ya Lamu huku wakiwaua watu wawili

  • | Citizen TV
    140 views

    Watu wawili wameuwawa kwa kupigwa risasi baada ya lori walimokuwa wakisafiria kushambuliwa na watu wanaoaminika kuwa magaidi wa kundi la Alshabab katika eneo la Nyongoro kwenye barabara kuu ya Lamu Witu na Garsen.